MS ELECTRONICS TUNAUZA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI, HOTEL NA APARTMENTS. PIA TUNATOA HUDUMA ZA KUFUNGA NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS.

Starsat

Starsat SR-200HD Extreme 4K UHD
TZS. 200,000/=

UFAFANUZI
  • Inatumika kwa ajili ya kuona channel za bure kupitia satellite dish. DVBS, DVBS2, DVBS2X.
  • Itakuwezesha kuona channel zilizofungwa kwa POWERVU NA BISS KEY Autorole 
  • Ina mfumo wa MULTI-STREAM, HEVC H.264, H.265 Codec kukuwezesha kuona channel nyingi zaidi katika mifumo tofauti.
  • Ina Account mbili za IKS na IPTV kukuwezesha kuona channel zaidi, Forever Serve Pro miezi 15 na Apollo IPTV miezi 12.
  • Ina mfumo wa kuiunganisha na Internet kwa WI-FI ambayo ipo ndani ya receiver na ina support 3G modem na LAN (internet ya waya)
  • Ina mfumo wa ku Upgrade software online.
  • Ina uwezo wa kuonyesha video za YOUTUBE na IPTV ikiwa imeungwa na internet.
  • Ina mfumo wa MULTIMEDIA (usb) kukuwezesha kurekodi au kucheza video kupitia flash disk.
  • Unaweza kuiunganisha na tv yako kwa mfumo wa AV au HDMI cable.
  • Umeme inatumia wa aina zote AC 220v au DC 12v
  • Video ni fully 4K Ultra HD Compliant

Starsat SR-220HD 4K Extreme 
TZS. 220,000/=

UFAFANUZI

  • Inatumika kwa ajili ya kuona channel za bure kupitia satellite dish. DVBS, DVBS2.
  • Itakuwezesha kuona channel zilizofungwa kwa POWERVU NA BISS KEY Autorole 
  • Ina mfumo wa MULTI-STREAM, HEVC H.265 Codec kukuwezesha kuona channel nyingi zaidi katika mifumo tofauti.
  • Ina Account mbili za IKS na IPTV kukuwezesha kuona channel zaidi, Forever Serve Pro miezi 15 na Apollo IPTV miezi 12.
  • Ina mfumo wa kuiunganisha na Internet kwa WI-FI ambayo ipo nje ya receiver kwa kutumia WI-FI antena ambayo inakuja pamoja na receiver na ina support 3G modem na LAN (internet ya waya)
  • Ina mfumo wa ku Upgrade software online.
  • Ina uwezo wa kuonyesha video za YOUTUBE na IPTV ikiwa imeungwa na internet.
  • Ina mfumo wa MULTIMEDIA (usb) kukuwezesha kurekodi au kucheza video kupitia flash disk.
  • Unaweza kuiunganisha na tv yako kwa mfumo wa AV au HDMI cable.
  • Umeme inatumia wa aina zote AC 220v au DC 12v
  • Video ni full 4K ULTRA HD 1080P
Starsat SR PS5
TZS. 120,000/=

  • Video ni full HD 1080P