FREESAT V8 FINDER (Mpeg4 HD)
Bei, Tsh. 240,000/=
UFAFANUZI
- Ni kifaa kinachotumika kwenye ufungaji wa satellite dish wakati unapotafuta signal.
- Kioo (screen) kina ukubwa wa 3.5 inches katika muundo wa LCD colour.
- Ina uwezo wa kusoma signal zote, ziwe za C band au Ku band, (13V/18V) V au H.
- Ina uwezo wa kukamata signal za HD (mpeg 4, Dvb s2) na za kawaida (mpeg 2, Dvb s).
- Betri yake inaukubwa 3000mA, ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa zaidi ya saba ukiwa unaitumia bila kuzima.
- Inauwezo wa kuandika frequency ya channel husika unapotafuta signal.
- Ina uwezo wakukuonyesha msitari wa lnbf (bars) kwenye screen pindi unapofunga waya wa lnbf.
- Ina uwezo wa kukuonyesha mstari wa signal (bars) kwenye screen pindi upatapo signal.
- Ina uwezo wa kukuonyesha picha na sauti (video) za channel ulizopata.
- Ina uwezo wa kuscan kwa AUTO, Blind, Manual au NIT, inatoa sauti na taa ya alamu upatapo signal.
- Inauwezo wa kuigiza AV kutoka chanzo cha nje na pia inatoa AV na HD kwenda kwenye tv nyingine.
- Ina uwezo kuungwa na DISEQ switch, ina uwezo wa kujilinda na shoti ya LNB.
- Ina USB port kwa ajili ya ku update software pale inapohitajika.
- Ina uwezo wa kuchajiwa betri yake iwe kwa umeme wa kawida AC 220v au DC 12v.