MS ELECTRONICS TUNAUZA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI, HOTEL NA APARTMENTS. PIA TUNATOA HUDUMA ZA KUFUNGA NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS.

Freesat

  • FREESAT V7 MAX HD satellite receiver 
  • Tsh. 70,000/=

UFAFANUZI
  • Inatumika kwa ajili ya kuona channel za bure kupitia satellite dish.
  • Pia itakuwezesha kuona channel zilizofungwa kwa BISS key.
  • Ina mfumo wa kukuwezesha kuona channel zilizofungwa kwa POWERVU auto roll.
  • Unaweza kuiunganisha na internet kupitia 3G modem au WI-FI adapter.
  • Ina mfumo wa kukuwezesha kuweka ACCOUNT za cccam na mgcam
  • Ina uwezo wa kuonyesha video za YOUTUBE ikiwa imeungwa na internet.
  • Ina mfumo wa MULTIMEDIA (usb) kukuwezesha kurekodi au kucheza video kupitia flash disk.
  • Unaweza kuiunganisha na tv yako kwa mfumo wa AV, RF au HDMI cable.
  • Umeme inatumia wa aina zote AC 220v au DC 12v
  • Video ni full HD 1080P

FREESAT V7 COMBO HD satellite receiver
Tsh. 80,000/=

UFAFANUZI
  • Inatumika kwa ajili ya kuona channel za bure kupitia satellite dish na antena ya kawaida.