MS ELECTRONICS TUNAUZA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI, HOTEL NA APARTMENTS. PIA TUNATOA HUDUMA ZA KUFUNGA NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS.

Satlink

SATLINK SP2100 HD sat finder
Bei, Tsh. 230,000/=
                           
UFAFANUZI
  • Ni kifaa kinachotumika kwenye ufungaji wa satellite dish wakati unapotafuta signal.
  • Kioo (screen) kina ukubwa wa 3.5 inches katika muundo wa LCD colour.
  • Ina uwezo wa kusoma signal zote, ziwe za C band au Ku band, (13V/18V) V au H.
  • Ina uwezo wa kukamata signal za HD (mpeg 4, Dvb s2) na za kawaida (mpeg 2, Dvb s).
  • Betri yake inaukubwa 3000mA, ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa zaidi ya saba ukiwa unaitumia bila kuzima.
  • Inauwezo wa kuandika frequency ya channel husika unapotafuta signal.
  • Ina uwezo wakukuonyesha msitari wa lnbf  (bars) kwenye screen pindi unapofunga waya wa lnbf.
  • Ina uwezo wa kukuonyesha mstari wa signal (bars) kwenye screen pindi upatapo signal.
  • Ina uwezo wa kukuonyesha picha na sauti (video) za channel ulizopata.
  • Ina uwezo wa kuscan kwa AUTO, Blind, Manual au NIT, inatoa sauti na taa ya alamu upatapo signal.
  • Inauwezo wa kuigiza AV kutoka chanzo cha nje na pia inatoa AV na HD kwenda kwenye tv nyingine.
  • Ina uwezo kuungwa na DISEQ switch, ina uwezo wa kujilinda na shoti ya LNB.
  • Ina USB port kwa ajili ya ku update software pale inapohitajika.
  • Ina uwezo wa kuchajiwa betri yake iwe kwa umeme wa kawida AC 220v au DC 12v.

SATLINK WS-6933 sat finder
Bei, Tsh. 180,000/=

 UFAFANUZI

  • Ni kifaa kinachotumika kwenye ufungaji wa satellite dish wakati unapotafuta signal.
  • Ina uwezo wa kusoma signal zote, ziwe za C band au Ku band, (13V/18V) V au H.
  • Ina uwezo wa kukamata signal za HD (mpeg 4, Dvb s2) na za kawaida (mpeg 2, Dvb s).
  • Betri yake ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa zaidi ya nane ukiwa unaitumia bila kuzima.