MS ELECTRONICS TUNAUZA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS KWA MATUMIZI YA MAJUMBANI, HOTEL NA APARTMENTS. PIA TUNATOA HUDUMA ZA KUFUNGA NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA SATELLITE, CABLE TV NA ELECTRONICS.

Findsat

FINDSAT 
Tsh. 170,000/=


 UFAFANUZI

  • Ni kifaa kinachotumika kwenye ufungaji wa satellite dish wakati unapotafuta signal.
  • Combo hii inauwezo wa kutafuta signal za antena ya kawaida ya king'amuzi DVB T2.
  • Ina uwezo wa kusoma signal zote, ziwe za C band au Ku band, (13V/18V) V au H.
  • Ina uwezo wa kukamata signal za HD (mpeg 4, Dvb s2) na za kawaida (mpeg 2, Dvb s).
  • Betri yake ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa zaidi ya nane ukiwa unaitumia bila kuzima.
  • Inauwezo wa kuandika frequency ya channel husika unapotafuta signal.
  • Ina uwezo wakukuonyesha msitari wa lnbf  (bars) kwenye screen pindi unapofunga waya wa lnbf.
  • Ina uwezo wa kukuonyesha mstari wa signal (bars) kwenye screen pindi upatapo signal.
  • Ina uwezo kuungwa na DISEQ switch, ina uwezo wa kujilinda na shoti ya LNB.
  • Ina USB port kwa ajili ya ku update software pale inapohitajika.
  • Ina uwezo wa kuchajiwa betri yake iwe kwa umeme wa kawida AC 220v au DC 12v.