Bei Tsh. 80,000/=
UFAFANUZI
- Inauwezo wa kuingiza signal za AV (Audio/Video) na kubadilisha kuwa signal ya RF.
- Inauwezo wa kuingiza signal za rf na kutoa hiyo hiyo rf (loop in and out)
- Inauwezo wa kurekebisha (adjust) frequency za rf output.
- Ina band mbili za rf output Uhf na Vhf.
HDMI SAT
Bei Tsh. 100,000/=
UFAFANUZI
- Inauwezo wa kuingiza signal ya AV (Audio/Video) na kubadilishwa kuwa signal ya rf.
- Inauwezo wa kuingiza signal ya HDMI na kubadilishwa kuwa signal ya rf.
- Inauwezo wa kuingiza signal za rf na kutoa hiyo hiyo rf (loop in and out)
- Inauwezo wa kurekebisha (adjust) frequency za rf output.
- Ina band mbili za rf output Uhf na Vhf.
SHARP
Bei Tsh. 190,000/=
UFAFANUZI
- Inauwezo wa kuingiza signal ya AV (Audio/Video) na kubadilishwa kuwa signal ya rf.
- Frequency Signal ya Rf output haibadiliki ni (fix) kila modulator ina namba yake maalumu.
ASTEL
Bei Tsh. 1,950,000/=
- Inauwezo wa kuingiza signal za AV (Audio/Video) na kubadilishwa kuwa signal ya rf.
- Ina modulator kumi na sita (16) zilizounganishwa kwa pamoja (combined)